Friday, July 22, 2016

TUNAUKATAA UDIKTETA......"Tunaukataa udikteta ndani ya Bunge, na tunaukataa nje ya Bunge, ndiyo maana tupo hapa mahakamani."
~Hon. John Mnyika (Mb)
"Tumefungua kesi dhidi Serikali ya Magufuli na Katibu Mkuu wa Africa Mashariki kwenye mahakama ya Haki EAC."
~Hon. John Mallya.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika (kushoto) na Wakili wa chama hicho, John Mallya wakiwa kwenye ofisi Msajili wa Mahakama ya Afrika Mashariki jijini Arusha kufungua kesi dhidi ya Serikali kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa. Picha na Filbert Rweyemamu

No comments: