Sunday, June 26, 2016

JUNE 26 : Ziara ya Kikazi Jimboni


Leo Juni 26 Ziara ya kikazi Jimboni:
Nimefurahi kupata fursa kushirikiana na wananchi wa Kata ya Kwembe ktk harambee yao ya ujenzi wa Kanisa (KKKT-Kwembe) ibada ya asubuhi.
Alasiri nilipata fursa ya kushiriki vikao na madiwani wote wa kata za Jimbo letu la Kibamba. Pia, kuwa na kikao na Wenyeviti Serikali za Mtaa na viongozi ktk Kata/Mitaa Jimbo la Kibamba.

No comments: