Tuesday, December 5, 2017

Nasimama na Wabunge na Makamanda wetu waliokamatwa Morogoro
Nasimama na wabunge wetu wawili; Ndugu Peter Lijuakali na Susan Kiwanga, Madiwani wetu wawili na wanachama wetu 34 ambao kwa mara ya pili sasa bado wanakataliwa kupewa dhamana.
Ikumbukwe walikamatwa toka Novemba 26 mpaka sasa wananyimwa haki yao ya msingi ya kupata dhamana.
Ninaheshimu mhimili wa Mahakama; lakini kwa yaliyowahi kwisha tokea na mifano lukuki inasukuma hitaji la sauti zetu. Kumeshakuwa na njama ovu nyingi dhidi yetu wapinzani hasa ktk suala zima la utoaji wa haki ya msingi ya dhamana-inahitaji kupazwa sauti zetu na kuunganisha nguvu kukemea hili.
Tuungane ktk hili na madhila mengine mengi ya uvunjifu wa haki, demokrasia na usawa ktk kuendesha siasa nchini.
Tunahitaji siasa safi ili tuweze kupiga hatua kimaendeleo kama alivyotuasa Baba yetu, Mwl. Julius Nyerere

1 comment:

fff said...

Moja ya story zinazobamba mtaani ni kuifanya Kilimanjaro kuwa Nchi kabisa jambo la kujiuliza kwa muda wote huo ambao story hii imekuwa ikibamba kwenye vijiwe vya kahawa na ukichukulia nchi ya Tanzania ni kubwa kuliko BURUNDI, na RWANDA ni Mkoa GANI AMBAO HAUHITAJI KUWA NCHI?TANGA?MBEYA?RUVUMA?NJOMBE?N.KAU TUTUMIE REGRESSION ANALYSISKUGAWA MIPAKA == a + b (mbunu za kupatia uongozi) + c(NI MKOA GANI HAUTAKI KUWA NCHI) + d (KWANINI USIWE NCHI) + e(TUPELEKE WAPI MAOMBI) + ERROT (hela) TERM (awamu ya urais/hela za msimu)KAMA KAWAIDA UKIWEKA MKOA WAKO (WEKA 1 WENGINE ZIRO (0)) MFANO IKIWA NACHIGWEA WEKA (1) ILI kwenye b upate NAMBA…BAADA YA HAPO INAKUWA time SERIES (MWAKA 1, 2, 3, 5, n.k)UJAMAA NA KUJITEGEMEA SONGhttps://www.youtube.com/watch?v=01zj7ulRK1s