Friday, September 17, 2010

Karibu mikutano ya ndani; Msigani/Mbezi na Makuburi 18.09.2010

Karibu kuunga mkono na kusikiliza sera; jumamosi 18.09.2010.
Mikutano ya ndani itafanyika katika kata ya Msigani/Mbezi kuanzia Saa 4 asubuhi hadi saa 6 mchana(wasilisha jina endapo unapenda kuhudhuria;0655-106368).

Makuburi saa 10 alasiri hadi saa 12jioni (wasilisha jina endapo unapenda kuhudhuria;0718-346811).

Njoo usikilize sera za kulibadili jimbo la Ubungo!
MASLAHI YA UMMA KWANZA.Mtaarifu mwenzako

1 comment:

Novatus said...

Tanzania haikuwahi kuota ndoto ya watu wezi na wenye uchu wa madaraka. utendaji mzuri wa mtu ndio mafanikio ya walio wengi.Ahadi zisiwe chanzo cha mlinganyo wa uwongo + ukweli= mafanikio.