Thursday, September 23, 2010

MABIBO NA KIMARA LEO 24Sept

Mikutano ya hadhara miwili ya leo itahutubiwa na Mhe Zitto Kabwe ...Karibu sana!!

1.MABIBO Mpakani saa 9-10 Jioni

2.KIMARA Stendi saa 11-12 Jioni

Usikose

Tafuta Kura ,Piga Kura ,Linda Kura....Hakika Tunashinda!!

1 comment:

Marcel said...

Tunakukubali Mhe. Mbunge wetu mtarajiwa. Nia yetu ni kuongeza idadi ya vijana bungeni. Siyo vijana tu ila vijana wenye misimamo watakaoleta mapinduzi katika nyanja mbalimbali za jamii ya watanzania ambao wengi wao wanaishi chini ya dola moja kwa siku. We kaza buti tuko nyuma. We need leaders who can shout and follow up mafisadi mpaka waone aibu. We need leaders who can stand in position and enable internal potentialities so that we exctract and have full control over our resources. You are among them kama unavyoonekana. Kwa hiyo maombi ya watakatifu yatakapojibiwa utakuwa miongoni mwa washindi. Just keep going with cool and balanced mind set.
Mimi Marcel nakupa big up.