Friday, September 10, 2010

Salam zangu za Eid!!Napenda kutoa salamu zangu za dhati kwa wananchi wote katika kusherekea sikukuu hii ya Eid!

Nawapongeza kwa kuweza kumaliza salama mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ambayo ni nguzo muhimu sana katika dini.

Nawatakia nyote sherehe njema. Muadhimishe kwa usalama, furaha na amani.

Nawatakia pia kheri kwa wale wanaoendelea na kufunga sita, Mungu awajaze nguvu kukamilisha nguzo hiyo muhimu.

No comments: