Monday, September 27, 2010

MWANANCHI 27.09.2010 MNYIKA KATIKA KAMPENI NA ZITTO

Nashukuru sana vyombo vya habari vyote ambavyo vinaendelea kuwa mstari wa mbele kuripoti taarifa za mikutano na kampeni zangu kwa ujumla. Vipo vyombo vya TV, Radio, blogu, magazeti. Nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu mkubwa mnaoutoa-hakika mnatoa mchango mkubwa sana si tu kwangu na kampeni bali kwa ukuaji na ukomavu wa demokrasia nchini mwetu.

Aluta Continua, Maslahi ya Umma Kwanza!

1 comment:

frank kondo said...

Mmh sasa umefika wakati wa sisi vijana kupevuka kifikra kwa kupima sera nzuri na zinazoweza kutendeka kwa ukamilifu sio tu kukomaa na uCCM kila kipindi cha uchaguzi.Mnyika ndio chaguo letu kwa maendeleo ya Ubungo na Taifa kwa ujumla