
Nashukuru wanahabari ambao mara kwa mara wamekuwa wakijitokeza katika mikutano yangu

Mgombea Udiwani Kata ya Manzese, Alhaji Kabunda akifanya mahojiano na Kituo cha Televisheni cha Channel 5 "EATV"

Baada tu ya kumaliza mkutano wangu wa hadhara Mburahati niliweza kufanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha Channel 5 "EATV"
1 comment:
Mweshimiwa tuko pamoja.ila naomba usiache kuja kibamba mji mpya kwani ata vipeperushi vya chadema hamna ni kibamba kwa mangi kama unatokea mjini kushoto unaenda ndani kama kilomita moja.mimi sipendi tuzarau kura ata moja ni vizuri ukafika ukazungumza na wana nchi.peple power........
Post a Comment