Friday, October 8, 2010

Makuburi waamka kuhakikisha Ushindi wa MNYIKA Jimbo la Ubunge, wewe je?

Nikihutubia wana wa Makuburi na kuwaasa wahakikishe wanachagua madiwani, mbunge-John MNYIKA na mgombea Urais toka CHADEMA.


Mzee Mabere Marando aliweza kuungana nami kuwaelimisha wana wa Makuburi kuwa na uthubutu wa kufanya maamuzi ya kukichagua CHADEMA ili kuleta maendeleo kwa Tanzania
Wananchi wakifatilia mkutano wa Makuburi

Nawashukuru sana wananchi ambao waliamua kuchangia mchakato wa kuelekea ushindi kwa kutoa chochote walichonacho katika mkutano wa Makuburi.

No comments: