Wednesday, August 28, 2013

Uzinduzi wa Kampeni ya Kuchangia Maabara na Madawati chini ya Shirika la UDIMhe. John Mnyika akishirikiana na Mratibu John Mallya kuonyesha bango lenye ujumbe wa harambee ya kuchangia maabara na maktaba iliyozinduliwa Agosti 21, 2013

Mratibu wa Shirika la UDI, Ndg. John Mallya akielezea juu ya shirika

Mratibu wa harambee ya changia maabara na maktaba, Ndg. Pascal Maziku akifafanua juu ya harambee hiyo

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Ndg. John Mnyika akitoa rai yake kwa wananchi kuungana nae katika harambee ya kuchangia maabara na maktaba

No comments: