Wednesday, December 29, 2010

Taarifa ya Hoja Binafsi Juu ya Mchakato wa Katiba Mpya


Nikikabidhi taarifa ya hoja binafsi ya kudai Katiba Mpya kwa Kaimu Katibu wa Bunge, Bw. Eliakim Mrema.

2 comments:

Filipo Lubua said...

Bwana kaka Mungu na akutangulie katika mchakato huu. Wewe ni mbunge wa Ubungo lakini suala hili ni la maslahi kwa taifa zima. Tunashukuru kwa kujitoa kwako, nina uhakika tutafika. Tuko pamoja daima

Anonymous said...

Katiba mpya all the way mpaka kieleweke.